Numbers 11:1-3

Moto Kutoka Kwa Bwana

1 aBasi watu wakalalamika kwa habari ya taabu zao masikioni mwa Bwana, naye alipowasikia, hasira yake ikawaka. Ndipo moto kutoka kwa Bwana ukawaka miongoni mwao na kuteketeza baadhi ya viunga vya kambi. 2 bWatu walipomlilia Mose, akamwomba Bwana, nao moto ukazimika. 3 cHivyo mahali pale pakaitwa Tabera,
Tabera maana yake Kunaungua.
kwa sababu moto kutoka kwa Bwana uliwaka miongoni mwao.

Copyright information for SwhNEN